Faragha na Usalama

Jinsi taarifa
zinavyosimamiwa

Kanuni za ukusanyaji, matumizi na ulinzi wa taarifa za waumini na kanisa kwa mujibu wa sheria na maadili ya Kikristo.

Imesasishwa mwisho: Januari 2026

Taarifa Zinazokusanywa

Wasifu, mawasiliano, huduma, sakramenti, na records za kifedha

Ruhusa na Scope

Taarifa huonekana kulingana na role, position na hierarchy

Mobile App

API hutumia token yenye muda wa kuisha kwa usalama

Marekebisho ya Taarifa

Muumini anaweza kuomba taarifa zake zisahihishwe

01. Taarifa tunazohifadhi

Mfumo huu unahifadhi taarifa muhimu kwa ajili ya uendeshaji wa kanisa, ikiwa ni pamoja na:

  • Wasifu wa waumini (jina, anwani, mawasiliano)
  • Taarifa za kanisa, parokia na dayosisi
  • Jumuiya, vikundi na kamati
  • Huduma, sakramenti na mahudhurio
  • Records za kifedha (sadaka, michango, bajeti)
  • Mikutano, minutes na maamuzi

Dhamira yetu: Taarifa hizi zinatunzwa kwa uaminifu na kwa lengo la kuimarisha huduma na ushirika wa kanisa.

02. Scope na Ruhusa

Taarifa huonekana kulingana na role, position na hierarchy ya kanisa:

  • Muumini - Anaona taarifa zake mwenyewe
  • Kiongozi wa Parokia - Anaona taarifa za parokia yake
  • Mhudumu wa Dayosisi - Anaona taarifa za dayosisi
  • Msimamizi wa Mfumo - Anaona taarifa zote kwa ajili ya usimamizi

Kanuni ya Uaminifu: Kila mtumiaji anaweza kuona tu taarifa alizopewa ruhusa kulingana na nafasi yake katika kanisa.

03. Mobile App

Mfumo wa simu (Mobile API) unatumia teknolojia za kisasa za usalama:

  • Tokeni yenye muda wa kuisha hutumika kwa kila mwingiliano
  • Tokeni inafutwa wakati wa logout
  • Tokeni haipaswi kushirikishwa na mtu mwingine
  • Mawasiliano yote yamepigwa coding (encrypted)

Tahadhari: Usishiriki tokeni yako na mtu yeyote. Ikiwa unashuku kuwa tokeni yako imepatikana na mtu mwingine, wasiliana nasi mara moja.

04. Marekebisho ya Taarifa

Muumini ana haki ya kuomba taarifa zake zisahihishwe au kubadilishwa:

  • Wasiliana na ofisi ya kanisa lako
  • Au tumia sehemu ya mawasiliano
  • Taarifa zitarekebishwa ndani ya muda mfupi
  • Marekebisho yatathibitishwa na msimamizi

Uwazi: Unaweza kuomba kuona taarifa zako zote zinazohifadhiwa katika mfumo huu.

05. Usalama

Tunachukua hatua zote za usalama ili kulinda taarifa zako:

  • Data zote zimepigwa coding (encryption)
  • Nenosiri lako ni siri — usilishiriki
  • Matukio ya matumizi mabaya yaripotiwe mara moja
  • Mfumo unafuatiliwa 24/7 kwa shughuli zisizo za kawaida

Ripoti haraka: Ikiwa unaona shughuli isiyo ya kawaida kwenye akaunti yako, wasiliana na msimamizi wa mfumo mara moja kupitia ukurasa wa mawasiliano.

06. Haki Zako kama Mtumiaji

Kama muumini au mtumiaji wa mfumo huu, una haki zifuatazo:

  • Kuona taarifa zako mwenyewe
  • Kuomba taarifa zako zisahihishwe
  • Kujua ni nani anayeona taarifa zako
  • Kuomba taarifa zako zifutwe (kwa mujibu wa sheria)
  • Kuripoti matatizo ya usalama

Kanisa la upendo: Haki zako zinaheshimiwa kama sehemu ya ushirika wetu wa Kikristo.

Maswali kuhusu Sera ya Faragha?

Kama una maswali yoyote kuhusu jinsi taarifa zako zinavyosimamiwa, tafadhali wasiliana nasi. Timu yetu iko tayari kukusaidia.

"Hata mambo yenu ya siri yatakuja wazi mbele ya nuru, kwa kuwa kila kitu kinachofichwa kitafunuliwa." — Mathayo 10:26 (Tafsiri ya karibu)